habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,752
Wamebadili gia angani,Hahaaa leo humu rahaaaa
Kumbe siku hzi Hawatongozi USO kwa USO
Ndo maana nimekuwa nikijiuliza siku hizi nimekuwaje sisemeshwi,
Sasa nimepata majibu
Wamebadili gia angani,Hahaaa leo humu rahaaaa
Hahaa mimi ngoja nianzie 9 kushuka chini mwenye sauti nzuri atakuwa ndo huyo huyoNimetest paka tano mbili mamen tatu hazipatikani....
Umenikumbusha picha ya Mr bean
Sijaamini kama hata wewe unaweza mkatisha mtu tamaaaa hivyoooHata mimi mefanyaje?