kombora jipya
Member
- Feb 21, 2015
- 20
- 2
Ndugu zangu kijana nmefikisha umri wa kuoa hivyo natafuta binti aliyetayari kuolewa awe na umri wa kuanzia miaka 27 kushuka chini [HASHTAG]#asante[/HASHTAG]
Nitaolewaje na mtu nisiyejua kazi yakekazi ndo inakuoa au ni yeye

Kama jambazii

UNATAKA KUOLEWA NA KAZI AU MWANAUME?Unafanya kazi gani![]()
Nitaolewaje na mtu nisiyejua kazi yakeKama jambazii
![]()
shoo uyo ni mweka azina Mi najua kazi yakee kazi kwako...Wote nawataka... Mwanaume na kaziUNATAKA KUOLEWA NA KAZI AU MWANAUME?


Kwa Gwajima au![]()
![]()
![]()
shoo uyo ni mweka azina Mi najua kazi yakee kazi kwako...

Sitaki aiseee .... Akifisadi Gwajima hachelewi kutaja hadi historian yangu ya utotoYaaa apo apo ulijuaje![]()



Odo unaujua ugonjwa wangu ni nini please rudisha bwana ile avatarAnii anafatilia ukoo mzima
Odo unaujua ugonjwa wangu ni nini please rudisha bwana ile avatar
usiwaze ngoja nkurudishie wee tenaRudisha bibie zawad itakuhusu ukiieeka![]()
![]()
![]()
![]()
usiwaze ngoja nkurudishie wee tena
Tayarii andaa zawadi chapuuRudisha bibie zawad itakuhusu ukiieeka
Subir dk moja zawad unapataTayarii andaa zawadi chapuu
Dah... Akiwa muuza ngada?kazi ndo inakuoa au ni yeye