Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,271
- 96,398
Ndio ujue nakupenda, sema tu naogopa kukuambia...kweli ile picha imekukwaza babu hii mara ya pili unaongea sio mm yule alijiskia tu kuongea sasa na yule wa jana alieibuka na kunianzishia thread na kuweka mapicha yake naona hujamuona sio mm kabisa
Usijali, ntadeal nao hao wanaokuchafua.