ABC za msingi katika swala la Ndoa si kutaja mali, hiyo watu wenye busara huficha kabsaaa na kujishusha ili kupata mke wa kweli mana wanawake wengi wa sasa ni tamaa, pata picha kakupendea nyumba gari na maisha standard, ushawaza gari kupata ajali, kufukuzwa kazi au kwa ushauri wake wa tamaa alikushauri uchukue mkopo bank kupitia hati ya nyumba mkopo ukabuma nyumba ikaaenda ukabaki mweupeee ?? Unadhani ataendelea kukaa na wewe? atarudi hapa jf kutafuta mwengine, TAFUTA MWANAMKE ATAKAE KUPENDA KAMA WEWE NA AKIWAZA YA KWAMBA ANAONANA NA WEWE MNAANZA KUTAFUTA MAISHA. Jua huyo ndo wakufa na kuzikana wa shida na raha, ungesema elimu yako na una kazi. na wakati wakujuana pia ungeact umepangisha na gari ya kazini ukapima upepo.Sio mashauzi ndugu,ni lazma kabla mchumbaangu mtarajiwa hajafanya maamuzi lazma awe na ABC za mumuwe mtarajiwa.
nimeuliza tu kama hicho ndio kipimo chako kuwa unamaisha ya standard sijakupiga vijembe"ndugu mbona unarusha vijembe,au unataka kuchukua hiyo nafasi wewe, kama huna cha kucomments kaa kimya kutunza heshima yako mkuu.
ndugu mbona unarusha vijembe,au unataka kuchukua hiyo nafasi wewe, kama huna cha kucomments kaa kimya kutunza heshima yako mkuu.
Sizya wala siitaji kweli muulize kama hata nimemtafuta
Kwanza hana lolote fix Tu huyo
nimeuliza tu kama hicho ndio kipimo chako kuwa unamaisha ya standard sijakupiga vijembe"
Komaa bwana mdogo ulitoka chuoni bila hata MTU? Pole sana ila utapata tuKama kichwa cha habari kinavyojieleza,mimi ni kijana above 30yrs, ninafanya kazi hapa hapa Dar, naishi maisha ya standard,yaani nina nyumba na nina gari, natafuta mchumba ambaye baadae baada ya kujiridhisha na mwenendo wake anaweza kuwa mke wangu,sichagui rangi,umri below 30,minimum education ni bachelor,waalimu watapata kipaumbele.
Aliye serious ani PM kwaajili ya maongezi zaidi.
Mwanamke gani anapenda maisha ya kuigiza,zipo factor nyingi za kuangalia,na hata mimi sitataka kuoa mama wa nyumbani kwa kua maisha ya sasa ni kusaidianaABC za msingi katika swala la Ndoa si kutaja mali, hiyo watu wenye busara huficha kabsaaa na kujishusha ili kupata mke wa kweli mana wanawake wengi wa sasa ni tamaa, pata picha kakupendea nyumba gari na maisha standard, ushawaza gari kupata ajali, kufukuzwa kazi au kwa ushauri wake wa tamaa alikushauri uchukue mkopo bank kupitia hati ya nyumba mkopo ukabuma nyumba ikaaenda ukabaki mweupeee ?? Unadhani ataendelea kukaa na wewe? atarudi hapa jf kutafuta mwengine, TAFUTA MWANAMKE ATAKAE KUPENDA KAMA WEWE NA AKIWAZA YA KWAMBA ANAONANA NA WEWE MNAANZA KUTAFUTA MAISHA. Jua huyo ndo wakufa na kuzikana wa shida na raha, ungesema elimu yako na una kazi. na wakati wakujuana pia ungeact umepangisha na gari ya kazini ukapima upepo.
Hizo ni asumptions tu,kwani we unapenda kuolewa na mlala hoi ndugu?Kwa hiyo nyumba na gari mbona pm itajaa...Ndo kipaumbele chao hicho...Na cha ajabu zaidi kakangu Utakutana na mdada hakupendi bali yuko tayari kuolewa sababu ya mali zako tu na ukishaoa utaisoma num er kwa michepuko.Kuwa makini
Heri hata single mothers kuliko hao waliotendwa mkuu.Nina uhakika asilimia 100 wewe natafuta lazima utamtafuta huyu kijana!! Maana post zako nyingi huwa ni za kulalamika either kutendwa or kusaka mchumba, haya! Huyo hapo kajileta, mtafute uache kutafuta🙄🙄🙄
kiukweli asma umeongea fact ila huyu jamaa inaelekea ni mgeni kwa wadada wa mjini..Wadada wanajua kupretend siku hizi acha! wengi watafuata hilo gari na nyumba! atapata cha kujifunza!ABC za msingi katika swala la Ndoa si kutaja mali, hiyo watu wenye busara huficha kabsaaa na kujishusha ili kupata mke wa kweli mana wanawake wengi wa sasa ni tamaa, pata picha kakupendea nyumba gari na maisha standard, ushawaza gari kupata ajali, kufukuzwa kazi au kwa ushauri wake wa tamaa alikushauri uchukue mkopo bank kupitia hati ya nyumba mkopo ukabuma nyumba ikaaenda ukabaki mweupeee ?? Unadhani ataendelea kukaa na wewe? atarudi hapa jf kutafuta mwengine, TAFUTA MWANAMKE ATAKAE KUPENDA KAMA WEWE NA AKIWAZA YA KWAMBA ANAONANA NA WEWE MNAANZA KUTAFUTA MAISHA. Jua huyo ndo wakufa na kuzikana wa shida na raha, ungesema elimu yako na una kazi. na wakati wakujuana pia ungeact umepangisha na gari ya kazini ukapima upepo.
Yani wadada waliviyo wasanii alipaswa hata siku ya kuonana aende na bajaji. waksihafika waende eneo jengine kwa kutumia hiace aone kama hatazimiwa simu siku ya pili nakumblock. na hapo ndo atajua yupi mzuri na yupi mbaya, mke asiependa shida si mke.kiukweli asma umeongea fact ila huyu jamaa inaelekea ni mgeni kwa wadada wa mjini..Wadada wanajua kupretend siku hizi acha! wengi watafuata hilo gari na nyumba! atapata cha kujifunza!
Umenisoma ila hujanielewa, soma mstari mmoja mmoja.Mwanamke gani anapenda maisha ya kuigiza,zipo factor nyingi za kuangalia,na hata mimi sitataka kuoa mama wa nyumbani kwa kua maisha ya sasa ni kusaidiana
Asmaaaaa ahh kuna siku unaongeaga point kumbe, leo umekunywa kerosene nini,maana umemwaga key point,chukua like basi,ABC za msingi katika swala la Ndoa si kutaja mali, hiyo watu wenye busara huficha kabsaaa na kujishusha ili kupata mke wa kweli mana wanawake wengi wa sasa ni tamaa, pata picha kakupendea nyumba gari na maisha standard, ushawaza gari kupata ajali, kufukuzwa kazi au kwa ushauri wake wa tamaa alikushauri uchukue mkopo bank kupitia hati ya nyumba mkopo ukabuma nyumba ikaaenda ukabaki mweupeee ?? Unadhani ataendelea kukaa na wewe? atarudi hapa jf kutafuta mwengine, TAFUTA MWANAMKE ATAKAE KUPENDA KAMA WEWE NA AKIWAZA YA KWAMBA ANAONANA NA WEWE MNAANZA KUTAFUTA MAISHA. Jua huyo ndo wakufa na kuzikana wa shida na raha, ungesema elimu yako na una kazi. na wakati wakujuana pia ungeact umepangisha na gari ya kazini ukapima upepo.
hhhhhhh umenifurahisha sana umempa ile kitu yenyewe.ila maisha ni kuchagua yeye pia anawataka hao wahivyo ndio maana hata vigezo vyake kama ubora wa mume akaona ni kuwa na nyumba na gar.huyo ndo mume bora na anataka mke bora watakayefanana kitabia lazma awe hivyotuKwa hiyo nyumba na gari mbona pm itajaa...Ndo kipaumbele chao hicho...Na cha ajabu zaidi kakangu Utakutana na mdada hakupendi bali yuko tayari kuolewa sababu ya mali zako tu na ukishaoa utaisoma num er kwa michepuko.Kuwa makini
nashangaa pale ambapo mwanaume mwezako anasema anatafuta jiko alafu wanaume wanaingilia na kurusha vijembe,je ungetaka nafasi hiyo mpewe nyie au?kila mtu anavigezo vyake na hivyo ndio vigezo vyangu,nyie ndio wale wanaume mnaishi na mke ndani lakini kila kitu umeficha,una miradi mkeo hajui, documents za vitu mbali mbali umeficha,potelea mbali kama kumtaarifu mke wangu mtarajiwa vitu nilivyonavyo ni mbaya ni juu yake,alafu yeye ndio anatakiwa alalamike kwamba sijatumia njia sahihi sio nyie madume mazima mnakuwa na mambo ya kike kike,kama mnautamani nyie mpododo njoeni PM.hhhhhhh umenifurahisha sana umempa ile kitu yenyewe.ila maisha ni kuchagua yeye pia anawataka hao wahivyo ndio maana hata vigezo vyake kama ubora wa mume akaona ni kuwa na nyumba na gar.huyo ndo mume bora na anataka mke bora watakayefanana kitabia lazma awe hivyotu
hakuna anayekuonea wivu hapa ilatu huwezi kumpata mtu makin kwa vigezo hivi.utawapata wengi wachunajitu.nashangaa pale ambapo mwanaume mwezako anasema anatafuta jiko alafu wanaume wanaingilia na kurusha vijembe,je ungetaka nafasi hiyo mpewe nyie au?kila mtu anavigezo vyake na hivyo ndio vigezo vyangu,nyie ndio wale wanaume mnaishi na mke ndani lakini kila kitu umeficha,una miradi mkeo hajui, documents za vitu mbali mbali umeficha,potelea mbali kama kumtaarifu mke wangu mtarajiwa vitu nilivyonavyo ni mbaya ni juu yake,alafu yeye ndio anatakiwa alalamike kwamba sijatumia njia sahihi sio nyie madume mazima mnakuwa na mambo ya kike kike,kama mnautamani nyie mpododo njoeni PM.