Natafuta mchumba

5. Asiwe mzee sana ( age 18-30).

maskini smati.... hapo umewakosa akina Michelle!!

Atajuta kuweka huo umri,hapa JF wasichana tumeamua kwamba hadi wazee watoke ndo hawa wadogo nao watoke......kama anataka aanze na wakubwa,la sivyo aende tu Facebook.............LOL
 
tumia ujana wako upasavyo kabla ukesho haujakufikia...l.o.l

Ndo nasubiri mafunzo kutoka kwa INKOSKAZ nianze kuutumia ujana wangu,yani hii ni wake up call.Sasa Hashy,nikimaliza mafunzo naweza kutafuta ili tuutumie huu ujana wote,manake sina wa kutumia nae?Natanguliza shukrani............LOL
 
sema hakyanani!!!!!!!!
 
kama huamini neno kanisani kwa kakobe, mzee wa upako, mama rwakatale ukasikilize ushuhuda....

ndio wapo walio uza nani zao , lakini yeye amesema anataka mlokole halafu awe bikira. Mimi nilivyo mwelewa ni kwamba si walokole wote wanao kwalifai kwake. Lol
 
Kuweka vigezo zisivyopimika na kutekelezeka huo ndiyo tunaita usmati! siyo?
 
ndio wapo walio uza nani zao , lakini yeye amesema anataka mlokole halafu awe bikira. Mimi nilivyo mwelewa ni kwamba si walokole wote wanao kwalifai kwake. Lol

Jamani hajasema anataka mlokole bikira, amesema anataka mlokole lakini ambaye hajaonjesha kwa makusudi, kwa hiyo hata mlokole asiye bikira anakubalika ila tu awe alionjesha kwa bahati mbaya, sasa sijui yeye atajuaje kwamba huyu ilikuwa bahati mbaya na huyu makusudi, maana wadada wa kipendwa wanavyopenda kuolewa lazima watamdanganywa tu
 
Sijawahi ya kudhamilia hata ile ya koto dhamilia. Ndio maana natafuta mshamba mwenzangu.

sasa mshamba atamfundishaje mshamba mwenzie weee vipi??? njoo huku nikupe maujanja niliyopewa na wanaume wenzio!!!!!!!!!!!:love::love:...siriazzz mie nimekutamani,kwa dunia ya sasa its hard to find mwanaume ambaye hajawahi kudo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom