Natafuta mchumba-waifu

Natafuta mchumba-waifu

El.pisterio

Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
21
Reaction score
10
Sifa za ninayemtafuta umri 20-25, atleast post secondary education, umbo lolote ila asiwe mnene sana (bonge), sura ya kuvutia kiasi, tabia njema, asiye na mtoto na awe tayari kuchek afya, awe mkristu ila muislam aliye tayar kubadili dini karibu.

Sifa zangu 28yrz old, graduate, govt employee, tall n black man, mpole, sinywi pombe wala sivuti sigara.

Aliye tayari ni PM
 
uwiiiiiiii nasikitika cjaiona hii mapema nataka mwanaume ambaye hanywi pombe wala havutti sigara. cjui nimechelewa
 
Dhaa! Vigezo na mashart kuzingatiwa, umri umeniangusha..
 
Sifa zote nnazo mchumba, ila nina mtoto shaka ondoa nitampeleka kwa baba ake....
 
uwiiiiiiii nasikitika cjaiona hii mapema nataka mwanaume ambaye hanywi pombe wala havutti sigara. cjui nimechelewa

Mwanaume ambaye hanywi pombe wala au havuti sigara ndo wa kuogopa kama ukoma. Trust me you.
 
Asprin una matatizo wewe. Kwa nini aogopwe hebu toa maelezo ya kina na evidences

Sina matatizo, ni ushauri tu. Na miaka yangu 72 nliyoishi hapa duniani nimeshuhudia mengi. Kazi ni kwako....:llama:
 
Hapo tu unaniacha hoi we mzee, miaka 72 ila unasimamia kucha kuzidi hata vijana...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom