Natafuta mchumba-waifu

Natafuta mchumba-waifu

Mwanaume ambaye hanywi pombe wala au havuti sigara ndo wa kuogopa kama ukoma. Trust me you.

Acha kutunanga ww, kama hujawahi kutana na wanaume wenye sifa hizo kuwa mpole endelea tu na hao waendesha magari moshi siku ukimpata wa style hii walah utasimulia...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom