Huna Jinsia?
Mbona amesema yeye ni msichana.....nini kisicho eleweka "Mimi ni msichana nina miaka 27,....." Mstari wa kwanza kabisa.
Mkuu, mtaalamu wa 'yale masuala yenu' yapi, au labda unatoka Kagera???Mimi nio safi kabisa na mtaalamu katika maswala yetu yale ambayo yatajufanya usitoke njeea ya ndoa.
Mkuu, mtaalamu wa 'yale masuala yenu' yapi, au labda unatoka Kagera???
Mmmmh 27 hujatokewa wala kuchumbiwa basi una tatizo.
Yaani mama tokea huko hujapendwa au kupenda hadi ulipofikia mmmmh haya bana USED
Mimi ni msichana nina miaka 27, ninatafuta mchumba mwenye mapenzi ya kweli,asiwe mlevi wa kilevi chochote,sichagui dini,rangi wala kabila,ambaye atakuwa tayari tuanzisha familia,awe tayari tupime ukimwi.Mimi kwa sasa naishi na kufanya kazi hapa Austin Texas USA,si lazima awepo hapa Marekani hata akiwa Tanzania au popote pale kwangu haina shida kwa sababu tutajitahidi kwa pamoja tuonane kwa kuja huku nilipo au mimi kumfuata Tanzania. Tafadhali naomba kwa aliye serious tu aniandikie kwenye email hii;
anneyfr@yahoo.com
unawatafuta ubaya kaka zetu wafikikrie kuishi majuu
Watu kama nyinyi, kwanini mnafikiri mwanamke lazima kuolewa akiwa na umri fulani au mtu asipoolewa anakasoro?