Natafuta mchumba wa kuoa umri miaka 25

Natafuta mchumba wa kuoa umri miaka 25

Mullocoz

Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
23
Reaction score
2
Mi ni kijana mtanashati umri wangu ni miaka 26 natafuta mchumba wa kuoa umri mwisho miaka 25 kushuka chini sifa kuu heshima,upendo,huruma na uvumilivu pamoja na umbo namba 8 mwenye sifa hzo anichek kupitia namba zifuatazo 0712998696 tafadhal usibp biga ama tuma msg.karibun ulimwengu maridhawa wa mapenzi
 
kazi kwelikweli. hivi tutaendelea kweli watanganyika kama mtu asubuhi hii anawaza mchumba namba nane badala ya kufikiria masuala ya maana eti namba nane. watu kam nyie mlitakiwa mkaishi na obama na upuuzi wenu mnafanania.
 
Unataka mwenye miaka 25, bado hujataja mwezi na tarehe ya kuzaliwa...
 
Ebu tupia ful profile yako..ili watu wachangamkie fursa tehteh
 
Mi ni kijana mtanashati umri wangu ni miaka 26 natafuta mchumba wa kuoa umri mwisho miaka 25 kushuka chini sifa kuu heshima,upendo,huruma na uvumilivu pamoja na umbo namba 8 mwenye sifa hzo anichek kupitia namba zifuatazo 0712998696 tafadhal usibp biga ama tuma msg.karibun ulimwengu maridhawa wa mapenzi

una moyo wa uvumilivu?? Usiwe kama mwenzako anayeshi porin kutafuta wadudu kampata kurumbembe kampa kijambio halafu anaanza kulalama tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom