Natafuta mchumba wa kunioa

sifa za mme, asivute sigara, awe na hofu ya mungu, sichagui kabila, asiwe na mtoto, asiwe amewai kuoa, awena kazi au shughuli yoyote ya kujiingizia kipato, asiwe muongo muongo.

kwa mawasiliano zaidi njoo pm.

only kwa walio serious.
Hapo unatafuta watu sita tofauti 😂😂😂
 

mimi hapa tafadhal 0625801648
 
Huyu nimeshamuoa na tuna watoto wawili sasa hivi, hivyo tabia ya kumfuata Pm nitapiga mtu....five again.
 
Huyu nimeshamuoa na tuna watoto wawili sasa hivi, hivyo tabia ya kumfuata Pm nitapiga mtu....five again.
 
Weka wasifu vizuri......baadaya shule ni muonekano vipi body iko vizuri maana hata gari likiwa linauzwa body huwa ndio kitu cha pili baada ya engen........namaaanisha chura hips nyonyo ........malizia ili MTU awe impressed zaidi.......nawasilisha
 
Kila la heri nakutakia.
 
All the best
 
Karibu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…