Natafuta mchumba wa kuishi nae

Natafuta mchumba wa kuishi nae

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wazi.

Kwa jina naitwa Milembe Anthony-24 yrs.

Pia ni mawanafunzi wa shahada ya kwanza katika elimu na utawala chuo kikuu cha mzumbe kampasi kuu Morogoro najitokeza mbele yenu ndugu jamaa na marafiki popote pale mlipo mnisaidie.

Natafuta mchumba wa jinsi ya kike mwenye umri kati ya 18-21,awe anajua kuongea kiingereza hata kwa dakika mbili tatu, mrefu kiasi, mwembamba kiasi,mcha mungu isipokuwa muislamu,awe na elimu ya kuanzia kidato cha nne na kuendelea,awe tayari kuish mkoa wowote hapa nchini,asiwe mtumiaji wa vipodozi,mwenye bidii na kujituma katika kazi,kwa mawasiliano zaidi piga 0764189966


we si umesoma! cha kuombea maji utamfundisha jaman...! cjui utamkuta wapi...!
kuna mwingine jana alikuwa hapa kutoka mwanza..! angalia post anaweza kukufaaa
 
Hahaha... kwel KICHWA KIKUBWA kikisimama KICHWA KIDOGO akifanyi kazi...
Sasa KICHWA KIDOGO KIMESIMAMA..... Ni SHEEEEEEEDAH
 
Hivi kumbe siku hizi mchumba unaishi naye? awe anajua kuongea kiiingeleza hapo ndo umeniacha hoiiii
 
W/ 0330,£¥

was
j🙂 Molp🙂 🙂 /mq14;104π|©®
£√
ee🙂 x-%e
p Mh/-mMl
Ph jp🙂 qd ux/🙂 /u😛🙂 _=> / / r 🙂 u/% %"x

) Bbqj-L-
 
Mmmmh. Mchumba mpaka ajue kiingereza shule ulimsomesha wewe?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom