Natafuta mchumba wa kuishi nae

Natafuta mchumba wa kuishi nae

Milembe Ulimwengu

New Member
Joined
Aug 30, 2014
Posts
4
Reaction score
1
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wazi.

Kwa jina naitwa Milembe Anthony-24 yrs.

Pia ni mawanafunzi wa shahada ya kwanza katika elimu na utawala chuo kikuu cha mzumbe kampasi kuu Morogoro najitokeza mbele yenu ndugu jamaa na marafiki popote pale mlipo mnisaidie.

Natafuta mchumba wa jinsi ya kike mwenye umri kati ya 18-21,awe anajua kuongea kiingereza hata kwa dakika mbili tatu, mrefu kiasi, mwembamba kiasi,mcha mungu isipokuwa muislamu,awe na elimu ya kuanzia kidato cha nne na kuendelea,awe tayari kuish mkoa wowote hapa nchini,asiwe mtumiaji wa vipodozi,mwenye bidii na kujituma katika kazi,kwa mawasiliano zaidi piga 0764189966
 
It's as if umetoa nafasi za kazi, m/ke wa design hiyo hajawahi kuzaliwa...
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wazi.
Kwa jina naitwa Milembe Anthony-24 yrs. Pia ni mawanafunzi wa shahada ya kwanza katika elimu na utawala chuo kikuu cha mzumbe kampasi kuu Morogoro najitokeza mbele yenu ndugu jamaa na marafiki popote pale mlipo mnisaidie.

Natafta mchumba wa jinsi ya kike mwenye umri kati ya 18-21,awe anajua kuongea kiingereza hata kwa dakika mbili tatu,mrefu kiasi,mwembamba kiasi,mcha mungu isipokuwa muislamu,awe na elimu ya kuanzia kidato cha nne na kuendelea,awe tayari kuish mkoa wowote hapa nchini,asiwe mtumiaji wa vipodozi,mwenye bidii na kujituma katika kazi,kwa
mawasiliano zaidi piga 0764189966

Mkuuu hayo masharti hayo mmmmmh!!!
 
yan mzumbe nzima umekosa mchumba? ata changarawe? uswazi ya juu na ya chini? ulijaribu mlali? au ata mgeta? aisee unaniangusha mkuu....
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wazi.
Kwa jina naitwa Milembe Anthony-24 yrs. Pia ni mawanafunzi wa shahada ya kwanza katika elimu na utawala chuo kikuu cha mzumbe kampasi kuu Morogoro najitokeza mbele yenu ndugu jamaa na marafiki popote pale mlipo mnisaidie.

Natafta mchumba wa jinsi ya kike mwenye umri kati ya 18-21,awe anajua kuongea kiingereza hata kwa dakika mbili tatu,mrefu kiasi,mwembamba kiasi,mcha mungu isipokuwa muislamu,awe na elimu ya kuanzia kidato cha nne na kuendelea,awe tayari kuish mkoa wowote hapa nchini,asiwe mtumiaji wa vipodozi,mwenye bidii na kujituma katika kazi,kwa
mawasiliano zaidi piga 0764189966

Unataka aongee kingereza kwan.hapo ubaloz wa marekani
 
Hahaaa...aongee kiingereza kwa angalau dakika ngapiii?????hahahahaaaaaa, wewe kiboooko
 
Kuna demu1 hapo Mzumbe ngoja nikuunganishe nae, unaonekana domo zege Dogo. Kuongea kiingereza kwa dk2 maana yake nini? Asitumie vipodozi vyote au vile vyenye madhara? Maana hata baby care ni kipidozi
 
Mwanangu humu jahuu tumeshatafuta wanawake humu miaka nenda rudi hatupati tena bila masharti,,sijui hawa humu ni majini?:embarrassed:
 
Hilo jina lako la kwanza ndiyo tatizo hutapata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom