Abel james
Senior Member
- Jun 12, 2014
- 103
- 8
Kwa jina naitwa abel j,ni mkazi wa iringa,nina miaka 25,nimechoka kuwa peke angu kwa muda mrf sasa nataka niupate ubavu wangu,namtafuta mwanamke wa kawaida sana kimaisha,mpole,mkristo,mwenye heshma,anaejua kupenda,elimu yoyote,awe anapatika sehemu yoyote ile tanzania na kabila lolote,alie tayali anicheki kupitia namba yangu ya cm 0763175935,sms zitajibiwa na kipaumbele kitatolewa kwa atakaekuwa wa kwanza
Nasikia baada ya kuona ni Dida wa times fm akatoka nduki.Yule jimama vipi?
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Mmmh mmeshasema huku hakuna wadada wazuri asa hizo post za kutafta wachumba pelekeni fb na instagram