malifimbo
Senior Member
- Apr 2, 2013
- 129
- 32
habari wana jamvi.
mm ni mvulana miaka 25. nina elimu ya chuo kikuu.natafuta mchumba wa kike ambaye tukiridhiana awe mke wangu hapo baadae.
Sifa za mtu ninaye mhitaji.
1.awe angalau na elimu ya kidato cha nne
2.asiwe muislamu maana mm ni mkristo
3.awe anatokea mkoa wote
4.mwenye mchango wa kimawazo ktk maisha
5.asiwe mnene
kama thread hii haikuhusu n bora upite tu kuliko kukejeli mtu.
tuma sms 0788014921 kwa aliye tayari.asanteni na mungu awabariki