Wewe upo "Yaenda" bibie, anatafuta wale wa matawi ya juu. Utakomaje mwaka huu, he he he...!.
Ah!!!!! ndugu yangu huna maoaji,mchagua jembe si mkulima naona kama unatujoki tuu,yaani sisi tuishio huku Nyaminywili ndio hatukufai au hututaki mpaka umpate aliopo huko maulaya, mimi nipo tayari kiasi cha wewe kunitumia Visa tu then nitakapofika mwenyewe utaona majambozzzz.
Chama cha walala uchi
Ukisema majambozz unamaanisha nini ndugu?
Niko Scandinavia, na nitafurahi kupata mwanamke aliyeko huku tuwasiliane ili tuone tutafikia wapi. Ningependa kupata mwanamke mwenye kujitambua, mwenye elimu/kazi/biashara yake ama hata mwanafunzi, kati ya miaka 22- 38, awe anaishi kati ya Denmark, Finland, Norway, Germany, Austria, Sweden, Holland, Greenland, Luxembourg, France, Iceland, Ireland/UK. Ikishindikana itakuwa vyema kupata mtu hata aliyeko Australia, Canada, New Zealand ama USA.
Asenti.
Whats so special with location mkuu? Mbona hata walio huku majuu kama wa Tz tu brother?
Ili apate urahisi wa kuonana naye!
Mmh hakuna hicho kitu siku izi kuna skype, tango, viber n so forth. Haya kila la kheri ila ukikuta mdada wa huku wengi washapitiwa na mijamaa ya west africa te te te inawapendajeee