Natafuta mchumba nimuoe

Baada ya mkeo kuchelewa kwenye foleni ya barabarani na kufika nyumbani usiku wa saa saba?

Haya subiri utawapata.
 
Bikra tu hata kama vigezo vingine ni ZERO kikiwemo kile cha ujuzi wa kutengeneza mahanjumati. Haya kila la heri.
 
Baada ya mkeo kuchelewa kwenye foleni ya barabarani na kufika nyumbani usiku wa saa saba?

Haya subiri utawapata.
ndo tegemeo langu
 
Bikra tu hata kama vigezo vingine ni ZERO kikiwemo kile cha ujuzi wa kutengeneza mahanjumati. Haya kila la heri.
mkuu ya aina hiyo Mungu atuepushie
 
Kwa sababu bikra ya k ni ngumu siku hizi unaweza badili mawazo ukawah ya tigo na yenyewe ukichelewa utabahatisha bikra ya masikio

Heri nipewe ya tigo hapo kiroho safi tutakaa chini
 
Maana bikra ya k kuipata labda ya mchina

Aiseee mood yangu kanivurugia mtu humu hata sikutegemea,nilimwamini ila pande zote 50/50 .life goes on kwani kama kukomoana watu huwa tuna-save copies,lol
 
Aiseee mood yangu kanivurugia mtu humu hata sikutegemea,nilimwamini ila pande zote 50/50 .life goes on kwani kama kukomoana watu huwa tuna-save copies,lol

Sijaona nani huyooo!!!!!
 
Elli mpwa usiniingize chaka tunaendeleza undungu NAPITA nimesikia unamjua mrembo mwenye vigezo tajwa

Ha!ha!kwa kweli hapo mi simo ila kama unamtaka haya yakitokea ya kutokea usije sema mpwa umenisababishia.
 
Kuna mmoja alikua anamsumbua mpwa wangu NAPITA check nae akusaidie

Kumbe ulimuona nilipata ujumbe wa maandisha kutoka uongozi wa Jf ameomba uzi uondolewe ila ajafanya makosa kuonyesha hisia zake kwangu sasa labda tumpe ndugu yetu.
 
Viol kwahiyo ule ushenga wetu...? Tutapigwa mawe ujue...!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…