Natafuta mchumba mwenye mtoto

jamani mi nilisema kwa roho safi tu lakini naona watu wanakuuuza ....acheni hizo bana kuweni na upeo mpana jamani....hebu jiulize kuna watoto wangapi wasio na baba huko mitaani na wao wanatamani kumpata mtu wa kumwita baba....???na nilipo sema mtoto wa kike sikuwa na maana mbaya...hivi mnajua mateso wanayopata watoto hasa wakike wasio na wazazi huko ktk jamii??? mnajua??? sina maana kwamba wa kiume hawapati tabu lakini wa kike wanapata tabu mara mbili kwa sababu ya jinsia yao....na wala sikutegemea mwanamke angeweza kubeza hayo maamuzi yangu hata kwa uchache ....tatizo ni kutokuwa na upeo mpana....kama ishu ni mchumba basi sitaki tena nimeghairi lakini mtoto ntaenda ku adapt na ntaishi nae.....ebo

Unataka kula kuku na mayai yake akikua?!!!
Shindwa na ulegee

nini maana ya kuku na mayai??? na ulijuaje kama na wewe si muhusika?? kwa nini unihukumu kwa fikra bana??? acha upuuzi wewe

nini maana ya kuku na mayai??? na ulijuaje kama na wewe si muhusika?? kwa nini unihukumu kwa fikra bana??? acha upuuzi wewe

mkubwa naona unajibu mashambulizi.punguza hasira,sababu mi mwenyewe nahitaji kujua.kuna dili la hela au?huyo mtoto na mama ake wa nini?nijibu kwa herufi kubwa uweke vituo na mkato ili nikuelewe vizuri.mia

mkubwa naona unajibu mashambulizi.punguza hasira,sababu mi mwenyewe nahitaji kujua.kuna dili la hela au?huyo mtoto na mama ake wa nini?nijibu kwa herufi kubwa uweke vituo na mkato ili nikuelewe vizuri.mia

kwani mtu anaposema anatafuta mchumba huwa ni dili au??? Au kwa kuwa mimi nimetaja na mtoto??? Naomba nikusahishe sikusema nataka mtoto na mamake bali nilisema mchumba mwenye mtoto wa kike...sasa unataka nifafanue neno mchumba au vp??mimi ni mwanaume amabaye nipo single nahitaji mchumba awe na mtoto wa kike (ni mapenzi yangu mwenyewe) niwe mchumba ikiwezekana mume na baba wa mtoto huyo. Sasa wewe ulutaka nisemeje au nifanyeje? Mana mi siwasomi na comments zenu kwani mna mashaka na nini? Au ningesema natafuta mchumba mjamzito? Au mwenye mtoto wa kiume? Au albino? Au hawara? Au mtoto wa kuadapt? Au nini???

hahahaha kaka mi niko fiti sana na nina imani kama kuprodzy ninaweza but kwa uwezo wake allah........haya ni maamuzi yangu tuu kwani hata nisipo pata mchumba mwenye vigezo hivyo bado naweza kuadapt mtoo vilevile

teh teh teh!u're not serious kijana.itakua vp kama baba mtoto akija kumhitaji mwanae.then mara nyng watoto wanapojua kua si wazaz wao halisi huwa wanasumbua sana.si vbaya inatakiwa umpate huyo mama mtu anayekupenda kwan mbele ya safari anaweza kukugeuka.

Similar Discussions

Back
Top Bottom