tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 499
Mimi naishi Dodoma ,ni mfanyakazi wa Taasisi moja wapo ya Bunge la Tanzania ,sijaoa , ila niko na maisha ya kuridhisha sana nina gari mbili yangu na yake napenda kumwambia hivyo mchumba mwenye sifa hiyo ok.
Karibu mwaaaaaaaa! Sura sio muhimu sana, ila awe mtulivu.
Karibu mwaaaaaaaa! Sura sio muhimu sana, ila awe mtulivu.