Natafuta mchumba mwanaume

Natafuta mchumba mwanaume

Evagrace

Member
Joined
Feb 2, 2014
Posts
45
Reaction score
13
Wana JF namimi natafuta rafiki wa kiume kwa lengo la kuwa na mahusiano yenye kuelekea uchumba.

WASIFU WANGU

UMRI:30
DINI:MKkristo
ELIMU: Degree ya kwanza
KAZI:Mwajiriwa
NAPENDELEA:Kuangalia movies, kusikiliza nyimbo/ kusoma tenzi zake na kusafiri.

NAYEMTAFUTA

UMRI:Kuanzia miaka 34 na kuendelea, awe Mkristo, Elimu kuanzia Advanced diploma na kuendelea. Awe ameajiriwa au amejiajiri shuguli halali na pia awe anaishi DAR.

Ni PM kama tu upo serious.
 
Duh,pole...
Asilimia kubwa ya wanaume wa umri huo wameoa...so angalia usije ukadanganywa na wahuni,watakugegeda then wakuache solemba...

Ni mtazamo
 
Wana JF namimi natafuta rafiki wa kiume kwa lengo la kuwa na mahusiano yenye kuelekea uchumba.

WASIFU WANGU

UMRI:30
DINI:MKkristo
ELIMU: Degree ya kwanza
KAZI:Mwajiriwa
NAPENDELEA:Kuangalia movies, kusikiliza nyimbo/ kusoma tenzi zake na kusafiri.

NAYEMTAFUTA

UMRI:Kuanzia miaka 34 na kuendelea, awe Mkristo, Elimu kuanzia Advanced diploma na kuendelea. Awe ameajiriwa au amejiajiri shuguli halali na pia awe anaishi DAR.

Ni PM kama tu upo serious.

Uko na bikira zote mbili? Kama zote mbili zipo nijulishe nianze mchakato
 
at this age, it obvious that every possible means will be deployed to secure one!

ukichelewa kidogo, limezama kwako!
 
Komaa na masharti kumbuka umri unasonga dada grace.
 
achana na hayo maadvance diploma achana na status yeyoto,kwa umri huo bd unachagua dadangu,we sema umri unaotaka mwenye tabia nzur,mwenye malengo n.k,nakutakia kilala kheri.
 
Wewe ni He au She?mambo yamebadilika siku hizi!
 
Wana JF namimi natafuta rafiki wa kiume kwa lengo la kuwa na mahusiano yenye kuelekea uchumba.

WASIFU WANGU

UMRI:30
DINI:MKkristo
ELIMU: Degree ya kwanza
KAZI:Mwajiriwa
NAPENDELEA:Kuangalia movies, kusikiliza nyimbo/ kusoma tenzi zake na kusafiri.

NAYEMTAFUTA

UMRI:Kuanzia miaka 34 na kuendelea, awe Mkristo, Elimu kuanzia Advanced diploma na kuendelea. Awe ameajiriwa au amejiajiri shuguli halali na pia awe anaishi DAR.

Ni PM kama tu upo serious.

Just one thing Eva
U wanna get sm1 real?India masharti otherwise utajuta
Kila la Kheri madam
 
Mi namfahamu rafiki yangu moja aliishia darasa la nne ila sasa hivi ana biashara halali anachezea hadi milioni 500 na ana tabia nzuri, anamuheshimu Mungu, mtu simple sana.. sasa we naona unawapenda sana wa advanced diploma kwenda juu ila elimu doesn't necessarily secure good life...
 
nina nia ya dhati but i dont have even a certificate, i speak english wewe! can u love me? am 36 stable one!makini sanaa "goodluck"
 
je ulipitia hizi step kabla ya kuja jamvini
1) kuomba dua ucku
2) kujiremba 24/7
 
Mi namfahamu rafiki yangu moja aliishia darasa la nne ila sasa hivi ana biashara halali anachezea hadi milioni 500 na ana tabia nzuri, anamuheshimu Mungu, mtu simple sana.. sasa we naona unawapenda sana wa advanced diploma kwenda juu ila elimu doesn't necessarily secure good life...

Ivi good life ni pesa pekee....la...
How about reasoning?
 
Wana JF namimi natafuta rafiki wa kiume kwa lengo la kuwa na mahusiano yenye kuelekea uchumba.

WASIFU WANGU

UMRI:30
DINI:MKkristo
ELIMU: Degree ya kwanza
KAZI:Mwajiriwa
NAPENDELEA:Kuangalia movies, kusikiliza nyimbo/ kusoma tenzi zake na kusafiri.

NAYEMTAFUTA

UMRI:Kuanzia miaka 34 na kuendelea, awe Mkristo, Elimu kuanzia Advanced diploma na kuendelea. Awe ameajiriwa au amejiajiri shuguli halali na pia awe anaishi DAR.

Ni PM kama tu upo serious.

Weka picha na namba yako ya simu tafadhari, niku PM sasa hivi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom