mathna ndio nini, Mke wa pili?
kama ni mke wa pili, natamani sana watu wakubali kuoa/olewa mke wa pili bale Dini inaporuhusu
Ili kupumguza watoto wa mitaani na single mothers
Mfano: ilionekana mwaka jana jijini Nairobi Single mother na watoto wa mitaani wapo kwa maelf hata wanashindwa kuwa manage ILA jiji kama Mombasa lenye waislam wengi, single mother na watoto wa mitaani ni wakutafuta. Na hii ipo hivyo hivyo kwa Nchi zenye waislam wengi.
Tukubali tusikubali; Wanaume ni wachache kuliko wanawake na ukichukulia wapo wanaume wengi tu ambao hawaoi/hawataoa
Tusipokubali/ruhusu kuoa/olewa mke wa pili, tutegemee janga la Umalaya kuongezeka, Magonjwa ya zinaa kuongezeka, single mother na watoto wa mitaani, Wizi/vibaka nk nk kuongezeka!
Uislam ulisha yaona hayo yote!