Huku jf huwezi pata mke wa maana sana sana utaishia pata wadada wachunaji, kwanza kabisa ukiwa unatafta mke jf, hata kama kiuhalisia uko serious na moyoni una nia njema, ukiwafata wadada wa huku wataona kuwa wewe ni muongo, na watakutreat kama muongo