A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,405 Reaction score 11,196 Oct 6, 2024 #21 stan john said: Habari Wana jamii forum Mimi ni kijana umri miaka 27, ni mfanyabiashara na Nina degree ya chemistry Natafuta mwanamke wa kuoa , Naishi mabibo Umri wa mwanamke usizidi miaka 22 Click to expand... Wewe jinsia gani?
stan john said: Habari Wana jamii forum Mimi ni kijana umri miaka 27, ni mfanyabiashara na Nina degree ya chemistry Natafuta mwanamke wa kuoa , Naishi mabibo Umri wa mwanamke usizidi miaka 22 Click to expand... Wewe jinsia gani?
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 19,988 Reaction score 48,486 Oct 6, 2024 #22 mzabzab said: Haya jamani wale mnaotaka watoto wenye miakili fursa ndio hiyo hapo Kelsea na Aaliyyah msije mkapitwa na bahati Click to expand... Akitokea anaetak mwenye miak 32 niite 😂😂
mzabzab said: Haya jamani wale mnaotaka watoto wenye miakili fursa ndio hiyo hapo Kelsea na Aaliyyah msije mkapitwa na bahati Click to expand... Akitokea anaetak mwenye miak 32 niite 😂😂
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,507 Reaction score 88,675 Oct 6, 2024 #23 Aaliyyah said: Akitokea anaetak mwenye miak 32 niite 😂😂 Click to expand... Huyo mbona yupo...sii mie hapa tena perfect kabisa mie nina 42 wee una 32 kitu mukide kabisa
Aaliyyah said: Akitokea anaetak mwenye miak 32 niite 😂😂 Click to expand... Huyo mbona yupo...sii mie hapa tena perfect kabisa mie nina 42 wee una 32 kitu mukide kabisa
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,091 Reaction score 165,244 Oct 6, 2024 #24 Vishu Mtata said: Hamna pisi below 22 yrs humu, unapoteza muda. Click to expand... Tupo bro....
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 15,859 Reaction score 36,240 Oct 6, 2024 #25 Aaliyyah said: Akitokea anaetak mwenye miak 32 niite 😂😂 Click to expand... Mshangazi😄😄 Weka tangazo na vigezo vyako upate mme
Aaliyyah said: Akitokea anaetak mwenye miak 32 niite 😂😂 Click to expand... Mshangazi😄😄 Weka tangazo na vigezo vyako upate mme
Kichwa Tango Member Joined May 29, 2019 Posts 58 Reaction score 78 Oct 6, 2024 #26 Kelsea said: Umri umenikosesha mume. Click to expand... Kwani una miaka mingapi mpenzi wangu, Nakupenda sana siwezi kuishi bila wewe
Kelsea said: Umri umenikosesha mume. Click to expand... Kwani una miaka mingapi mpenzi wangu, Nakupenda sana siwezi kuishi bila wewe
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 19,988 Reaction score 48,486 Oct 6, 2024 #27 ngara23 said: Mshangazi😄😄 Weka tangazo na vigezo vyako upate mme Click to expand... 😀😀Vigezo vyangu awe anapumua tu
ngara23 said: Mshangazi😄😄 Weka tangazo na vigezo vyako upate mme Click to expand... 😀😀Vigezo vyangu awe anapumua tu
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 19,988 Reaction score 48,486 Oct 6, 2024 #28 mzabzab said: Huyo mbona yupo...sii mie hapa tena perfect kabisa mie nina 42 wee una 32 kitu mukide kabisa Click to expand... Miak 42 una mke na wajukuu wew😀😀
mzabzab said: Huyo mbona yupo...sii mie hapa tena perfect kabisa mie nina 42 wee una 32 kitu mukide kabisa Click to expand... Miak 42 una mke na wajukuu wew😀😀
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 15,859 Reaction score 36,240 Oct 6, 2024 #29 Aaliyyah said: 😀😀Vigezo vyangu awe anapumua tu Click to expand... Pesa ya kutunza mme unayo lakini😄
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,507 Reaction score 88,675 Oct 6, 2024 #30 Aaliyyah said: Miak 42 una mke na wajukuu wew😀😀 Click to expand... Hapana sina mke wala wajukuu...njoo kwangu basi wewe umri perfect kbisa tunakuwa mume na mke maisha yanasonga.
Aaliyyah said: Miak 42 una mke na wajukuu wew😀😀 Click to expand... Hapana sina mke wala wajukuu...njoo kwangu basi wewe umri perfect kbisa tunakuwa mume na mke maisha yanasonga.
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 19,988 Reaction score 48,486 Oct 6, 2024 #31 ngara23 said: Pesa ya kutunza mme unayo lakini😄 Click to expand... Pesa Sina aisee wanawake hatujawah kuwa na Hela😃😃😃
ngara23 said: Pesa ya kutunza mme unayo lakini😄 Click to expand... Pesa Sina aisee wanawake hatujawah kuwa na Hela😃😃😃
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,835 Reaction score 14,727 Oct 6, 2024 #32 KIla khery kijana.
walikuyu JF-Expert Member Joined Jul 27, 2018 Posts 960 Reaction score 2,055 Oct 6, 2024 #33 Oya nenda chuo hapo NIT kuna midemu kibao wewe tu
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 15,859 Reaction score 36,240 Oct 6, 2024 #34 Aaliyyah said: Pesa Sina aisee wanawake hatujawah kuwa na Hela😃😃😃 Click to expand... 😄Kama huna pesa ndo ivo tena Fika Kwa mtume Mwamposa upate muujiza wako
Aaliyyah said: Pesa Sina aisee wanawake hatujawah kuwa na Hela😃😃😃 Click to expand... 😄Kama huna pesa ndo ivo tena Fika Kwa mtume Mwamposa upate muujiza wako
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 8,029 Reaction score 21,530 Oct 6, 2024 #35 subiri midume inayoenda kama mijike ije PM hapo ikuchoreee
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,075 Reaction score 111,682 Oct 6, 2024 #36 Kelsea said: Umri umenikosesha mume. Click to expand... Punguza
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,974 Reaction score 35,342 Oct 7, 2024 #37 Half american said: Punguza Click to expand... Inabidi mleta uzi ndio aongeze asogee hadi 40
SweetyCandy JF-Expert Member Joined Sep 17, 2022 Posts 4,800 Reaction score 8,989 Oct 7, 2024 #38 mzabzab
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,075 Reaction score 111,682 Oct 7, 2024 #39 Kelsea said: Inabidi mleta uzi ndio aongeze asogee hadi 40 Click to expand... Hataki sasa
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,974 Reaction score 35,342 Oct 7, 2024 #40 Half american said: Hataki sasa Click to expand... Ebu subiri aje mwenyewe, usimsemee.