umri mwisho miaka 23,ruksa kuni Pm
Serious nipo na ni kwa uhusiano mrefu tu
Nakuombea mja akujaalie upate mtima wa roho yako
Eeheeee wewe mbona hujataja kazi yako
Unaoa mke au unaoa chaki? nauliza tu
umri mwisho miaka 23,ruksa kuni Pm
Serious nipo na ni kwa uhusiano mrefu tu
wanawake wengi walimu huolewa na wanaume chokambaya ....hawana kazi na hata akiwa nayo haina mbele wala nyuma
wanawake wengi walimu huolewa na wanaume chokambaya ....hawana kazi na hata akiwa nayo haina mbele wala nyuma
sio wote bn
Mm afande vp sifai kweli
Wakiume fd force