Natafuta mchumba mwalimu!

umeona eeeh!! kwahiyo tusio walimu hatuolewi??

Si ndo nashangaa hata mimi. Yan engineer,bankers,doctors hadi wakulima wanataka walimu. Haya c majanga haya?
 
Si ndo nashangaa hata mimi. Yan engineer,bankers,doctors hadi wakulima wanataka walimu. Haya c majanga haya?

ndo hapo chacha! inabd turud tusomee ualimu ili tupate waume, duuuh!!!
 
wengi tunaamin walimu ndo favourites, lakn unaweza ukampata asiye MWL na ukaenjoy uwepo wake! so,atoto na kantwe msiogope xana
 
wengi tunaamin walimu ndo favourites, lakn unaweza ukampata asiye MWL na ukaenjoy uwepo wake! so,atoto na kantwe msiogope xana

Wewe si wa kwanza ujue. Nlishawasikia wengi tu
 
Mie dalali wa uchumba nikutafutie kama watano hiv alaf ujichagulieee?????
 
sema wewe kada gani tuangalie uwezekano

Heee kada tenaa?? Unamaanisha hapa napo utaangalia angalau inayokaribiana na ualimu. Nikikutajia kada yangu ndo utachoka maana wadada wa kada hii wanasifika kwa usista duu na kupenda matanuzi
 
Heee kada tenaa?? Unamaanisha hapa napo utaangalia angalau inayokaribiana na ualimu. Nikikutajia kada yangu ndo utachoka maana wadada wa kada hii wanasifika kwa usista duu na kupenda matanuzi

Usiogope sema tu safari moja huanzisha nyingine funguka shosti.
 
its just the impression people have but life is more than your professional as a teacher you gat me
 
ha ha ha! kama wapo poa but vigezo na masharti kuzingatiwa@idriss
 
------- nini weweee, yani we ndo unatuona walimu ni makasha eeeh! eti nina elimu ya chuo kikuu, elimu ya chuo kikuu ndo mnyama gani? hiyo ndo elimu ya kutangaza hapa!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…