Si nilisema Pamela atampiga kibuti Siyoi..
mnaona sasa?
Mkuu mimi sio pamela wa SiyoiSi nilisema Pamela atampiga kibuti Siyoi..
mnaona sasa?
Hapana.Pamela kwa mimi mwenye watoto watatu na talaka mbili naruhusiwa kuku pm?
Asante sana,ila mimi sikai sinza labda huyo ni Pamela mwingine.pamela, pale sinza unakaa maeneo gani? nakutakia mafanikio mema upate mume mwema mwenye hofu na Mungu.
Asante Mkuu.Utafanikiwa tu Pamela...kila jambo linataka hatua ya kwanza...nawe umepiga hatua tayari.
Habari zenu wakuu,
Mie ni mdada natafuta Mwanaume mwenye sifa hizo hapo chin km tukiafikiana tufunge ndoa,
sifa zake;
Aliye single,Mkristu,umri miaka 32-40,mwenye kazi ya kueleweka au biashara,Elimu Diploma na kuendelea,mwenye mtoto mmoja anakubalika,asiyevuta sigara,
Sifa zangu;Niko single,sijawahi kuolewa,sina mtoto,elimu ya shahada ya kwanza,umri wangu 30yrs,nimeajiriwa nafanya kazi.
Kwa maelezo zaidi kuhusu mimi kwa atakayekua interested ani PM au pamelamassawe@gmail.com
Tafadhali km unaona haikuhusu usinidhihaki ww pita bila kuandika chochote.
hili sio la mzaha so naomba msilichukulie kimzaha.
Asante sana Mzazi wangu,mume bora hapatikani kwa hivi vigezo vya kidunia, bali hutoka kwa MUNGU.
sugua goti, my daughter.
Hapana.
mume bora hapatikani kwa hivi vigezo vya kidunia, bali hutoka kwa MUNGU.
sugua goti, my daughter.
Yametimia lol.Si nilisema Pamela atampiga kibuti Siyoi..
mnaona sasa?
Asante kwa kunipa moyo na uelewa wako Dada,Ni kweli maombi yanaendana na juhudi binafsi,ndio kama hivi nimeamua kujilipua japo sio jambo rahisi hasa kwa jinsia zetu.jamani pamoja na kusugua goti, inahitaji juhudi binafsi ; la tungekuwa kama wanyama tu kila kitu tumuachie Mungu.
All the best Pamela; utapata watu serious pia. Usingoje kufuatwa, kuna post nyingi tu humu za wakaka wanaotafuta wake, so jilipue kwa kuanza kuwaPM wewe.
Sio roho mbaya na wala tatizo sio watoto,nahofia hizo talaka zako kwani kwenye ukristu hatuna hayo mambo ya talaka pia inakuwaje uwe na talaka mbili,kwani una matatizo gani yaliyowashinda hao wawili???Pamela acha roho mbaya! Nina vigezo vote hivo watoto ndio
wakutishe kiasi hicho, hupendi watoto?