Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 10,484
- 19,987
Kumekucha na makucha yake
AminaMungu akupatie hitaji la moyo wako
Ungekubali kuwa Muislam ningekupatia ji handsome la Kiarabu lina miaka 38, linataka kuja kufanya kilimo cha biashara Tanzania.
Mkifyatua hapo mnatowa mijitoto ya kishombe kishombe, mizuri kuliko ile ya wakimbizi wa wa Msumbiji huko Morogoro.
Kama staili ya kina Abood bus, si unamuona alivyo? mama yao Mluguru kabisa.

au inakuja midume tuh 
Mpatie Mtoto wako bibi.Ungekubali kuwa Muislam ningekupatia ji handsome la Kiarabu lina miaka 38, linataka kuja kufanya kilimo cha biashara Tanzania.
Mkifyatua hapo mnatowa mijitoto ya kishombe kishombe, mizuri kuliko ile ya wakimbizi wa wa Msumbiji huko Morogoro.
Kama staili ya kina Abood bus, si unamuona alivyo? mama yao Mluguru kabisa.
HelloMungu ni mwema sana
Nami niko single tuungane tusukume gurudumu la maishaMimi sihitaji kwakweli, ingawa niko single
unamalizaje upwiru weyeeMimi sihitaji kwakweli, ingawa niko single
Duh so ukiingia tuu kwenye ndoa ni kutia mimbaHaya mabro kazi kwenu kutuletea wifi
na hili baridi tunategemea mwezi wa 4 mwakani kuitwa maaunt
Nami niko single tuungane tusukume gurudumu la maisha



Duh so ukiingia tuu kwenye ndoa ni kutia mimba



afu ulikuwa wapi swahiba mbona adimu sana?? Au wamekufichawewe huyooo.. unavyopendaa uboboooSitumii vyakula vya kuleta upwiru![]()
wewe huyooo.. unavyopendaa ubobooo



Ulivyo mtraaamu mpk nanena kwa lugha naanzaje kuuchukia???Mie ndio umenibania kunipaaa dah.. dunia haipo sawaaUlivyo mtraaamu mpk nanena kwa lugha naanzaje kuuchukia???