Natafuta mchumba, mume mtarajiwa

mme mwema hutoka kwa mungu, fanya maombi na usichague kabila labda dini.
 
Kama umekosa wa kukutongoza huko ulipo kwa masharti hayo ungeenda tu kusubiria leba.
 
Terms and condition applied [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Duuh! Sidhani kama kuna seriousness yoyote hapa. Anyway wahitaji jaribu bahati yenu.
 
Multiple ID...
Mweye hii id kaizunguka kakoment tena mahali kwenye hui uzi kwa kutumia id yake ya siki zote..
 
Una chura nzuri?( yaani shepu yako ikoje? Huna kitambi?) Una guu la chupa? na unaishi wapi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…