Mundamushimu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 757
- 434
Una ng'ombe 50 wa mahali nikuelekeze alipo msukuma mwenye sifa ulizotaja!?
Njoo Mkoa wa SimiyuWasukuma weupe upatikanaji wake ni kama wa white elephant.... ukimpata ujue watu wanatajirika mwanza kwa mahari