Njoo pm fastaHabari Wana JF,
Mimi nina miaka 34 na watoto wawili, niliachana na mme wangu huu ni mwaka wa nne sasa, ila hadi sasa sijapata mtu mwingine hasa wa kuaminika wote ninao wapata naona wadanganyifu, roho inaniuma kuwa sina hata wakunijali na mbaya zaidi upweke umezidi! vigezo na masharti ni awe mkweli, mwenye upendo, mwelevu,mstaarabu na anaejiheshimu na asiwe tapeli wa mapenzi basi.
Nashukuru
Itabidi utunze mkuu,, mfano lakinVip kuhusu matunzo ya familia yako na mi mwenyewe? Mfano yaani!!!
Ntamudu vip kumpa mapenzi nakutunza familia?Itabidi utunze mkuu,, mfano lakin
Mbona vitu viwili tofautiNtamudu vip kumpa mapenzi nakutunza familia?
mkuu hebu rudisha picha ni wew umeoa umezaa na mkeo watoto 2 mukaachana akakuachia watoto alafu unataka kuoa mke mwingine anaona watoto wako nimzigo utajiskiaje?au utawafukuza watoto wako ili uoe mke mpia?au utajiskiaje ikiwa hatawapenda hao wanao?tumuogope mungu mimi niviletu pm zimenishinda mfumo huu unanitesa kutumia ila ningemfata nimuoe tena kwa ndoa kabisa.hujui mtoto gani atakusaidia keshoNtamudu vip kumpa mapenzi nakutunza familia?
Mitoto ya kamba huijui wewemkuu hebu rudisha picha ni wew umeoa umezaa na mkeo watoto 2 mukaachana akakuachia watoto alafu unataka kuoa mke mwingine anaona watoto wako nimzigo utajiskiaje?au utawafukuza watoto wako ili uoe mke mpia?au utajiskiaje ikiwa hatawapenda hao wanao?tumuogope mungu mimi niviletu pm zimenishinda mfumo huu unanitesa kutumia ila ningemfata nimuoe tena kwa ndoa kabisa.hujui mtoto gani atakusaidia kesho
naijua sana ila ikipata mapenz ya wazazi inasaidiaga badae kweli.ila ukiinyanyasa inajua kulipa kisasa kweliMitoto ya kamba huijui wewe