Kila mtu humu anahistoria yake jinsi alivyokutana na mume/ mke wake hadi leo wapo pamoja..
Ukiuliza mmoja mmoja mwingine atakuambia nilikutana nae kwenye basi..mwingine atakuambia nilikutananae kanisan..mwingine atakuambia walikuta bar
Mwingine atasema tulikutana stand ya ubungo
So kila mtu anahistoria yake jinsi alivyokutana na mpenz wake/ mke
Heb tumwache na yeye huyu mwenzetu atengeneze historia yake ya maisha hata yeye akiulizwa atasema mke wangu nilimpatia JF
So lugha za kejeli sio nzuri jamani alafu sio lazima u comment unasoma tu unaacha yalivyo
Yaan kuna watu humu JF kila post anataka aweke comment yake yaan hapitwi na post
So kijana usijali utapata tuu