Data given
Member
- May 8, 2014
- 68
- 11
Mimi ni kijana umri 28, mkristo, mtumishi wa serikali,uref Ft 5.4,
Natafuta mchumba au mke mwenye sifa zifuatazo
1. Awe mcha mungu
2.Mwenye upendo wa dhati
kwangu na ndugu zangu pamoja na jamii nzima kwa ujumla
3.Kabila lolote Tz
4.mkristo dhehebu lolote
5.awe mtumishi wa serikali idara yoyote ile ( mwalimu atapewa kipaumbele zaid)
6.awe na umri kuanzia 18-25
"..This is serious not jocking.."
Mwenye sifa hizo ani Pm
N:B Awe tayar kupima HIV