Maliza chuo kwanza dadaangu we bado mdogo sana. Subiri umalize chuo na ukishapata kazi utapata bwana mwenye heshima. Huyo unaemtafuta sahiv we ndo unasoma atakunyanyasa sana.
Bint Mkweli,
Sifa zote ninazo kasoro moja tu, makazi. Mimi nikija Dar basi likizo au issue ya kikazi. Honestly, sipendi kuishi huo mji. Japo wazaz wangu wapo huko.
Hebu shauri wewe mwenyewe.
Mkuu Tee Bag, episode two ya Prison Break inatoka lini? nataka nijiajiri kwa video library ili nimuoe huyu mlimbwende Bint mkwel coz yeye anataka 'wafanya biashara' au 'wafanyakazi' tu
Majungu sio mazur jaman wale wote mnaosema natafuta kusomeshwa cjui kuchuna muwe mnawaza mara2 2 kabla ya kuropoka me cna njaa kama mnavyofkiria ndo maana nkasema mwanzo km huna nia pita mbaliii