Natafuta mchumba (male) muislam

Ninakutakia mafanikio Shemeji yangu mtarajiwa
 
Mi nafaa lakn umekuwa mbaguz mno kias kwamba cku nkija kupoteza CFA mojawapo mf.kaz bac mapenz ya dhat hayatokuwepo tena.
 
Maliza chuo kwanza dadaangu we bado mdogo sana. Subiri umalize chuo na ukishapata kazi utapata bwana mwenye heshima. Huyo unaemtafuta sahiv we ndo unasoma atakunyanyasa sana.

#busara.za.naantombemushi#
 
Kwa uzuri wao
Kwa mali zao
Kwa nasaba zao
Kwa dini zao
 

Weka picha please
 
Unataka wa kuchuna sio, nakuhakikishia utaliwa wewe maana umetaka wa kumla.
 
Je wewe si miongoni mwa watoto wa mama Salma? Sifa zote ninazo, so kama vipi njoo uwe mke wa pili upate Nusra ya kweli @
 
Majungu sio mazur jaman wale wote mnaosema natafuta kusomeshwa cjui kuchuna muwe mnawaza mara2 2 kabla ya kuropoka me cna njaa kama mnavyofkiria ndo maana nkasema mwanzo km huna nia pita mbaliii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…