Natafuta mchumba kwa mara ya kwanza

Natafuta mchumba kwa mara ya kwanza

Niko na natafta mke,mmi ni muumini wa dini ya kibahai,natafta mchumba wa dini yyte,awe na elimu walau ya chuo(ikiwezekana ) mweupe kwani me mweusi,asiwe bonge,staweza kumbeba tukiwa bichi,awe na umri usiozidi miaka 22/23,ayatambue bayana majukumu ya mke,awe tayari kuishi Dar au Mbeya.asiwe mnyakyusa..

Mbona huu uzi upo kama.tetes!??
 
Domo zege alafu unakuwa mbaguz fia mbele uko wanyakyusa c watu?

Kiti moto ni kitoweo kitamu sana lakini haramu kwa waislamu,sasa huwez jua kwanin nimeamua kusema hapana kwao!,nipm ninutongoze bsi ili.ukoconfirm kama mie domo zege au domo jiwe kabisa...
 
Upo kijijini wap wakat umesema akubar kuishi dar es salaam? Nakupakatwa kupo

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums

hujasoma vema alie sema yupo kjjn ni mdau mwngne soma vzr...bt issue si.kuwepo dar au nn issue ni kktaka mke sawa agripa..jitokeze basi naww adi sasa bado nafas ipo.
 
Tunasubir habari halis na sio tetes

Kichwa kinasema kwa mara ya kwanza so keep on waiting habr itakuja kwa mara ya pili kuwa nimempta mke na si kutafta tena...kwa sasa acha nizidi kutetesa mkuu...
 
Kichwa kinasema kwa mara ya kwanza so keep on waiting habr itakuja kwa mara ya pili kuwa nimempta mke na si kutafta tena...kwa sasa acha nizidi kutetesa mkuu...

Mungu akutangulie
 
Niko na natafta mke,mmi ni muumini wa dini ya kibahai,natafta mchumba wa dini yyte,awe na elimu walau ya chuo(ikiwezekana ) mweupe kwani me mweusi,asiwe bonge,staweza kumbeba tukiwa bichi,awe na umri usiozidi miaka 22/23,ayatambue bayana majukumu ya mke,awe tayari kuishi Dar au Mbeya.asiwe mnyakyusa..

hiyo dini yako inaitwaje vile nahisi cijasikia vizuri ati
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom