Natafuta mchumba (KE)

Nimeona ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.. em anza kuchana mistari nione๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Hio ngumu kwa reasons zifuatazo;
1. Sijawahi kukuona, Sijui features zako, mwanamke anasifiwa na kurembwarembwa na maneno mazuri kulingana na maumbile yake
2. Sijui personality yako, naweza sema kitu funny we ukaona kama hakichekeshi.
3. Sijui kama umeolewa au la, sipendi kufanya utani kama huo na wake za watu.

Ninachojua kuhusu wewe ni hio miguu yako milaini kweny DP yako hapo, unaweza dhani haijawahi gusa vumbi.
 
Bado, endelea Tena.. em chana kwanza kwa huyohuyo unayemfikiria kichwani๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Bado, endelea Tena.. em chana kwanza kwa huyohuyo unayemfikiria kichwani๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Dear Leejay49
My heart is yearning, My heart beats for you.
Nothing seems good, I can't describe the feeling.
All day long I remember your comments on JamiiForums, I can sense that loving charm and pretty grace.
I miss the warmth of your presence, I miss you for who you are.
I miss your replies and your shyness, I miss you to infinity.


This feels weird to be honest ๐Ÿ˜… ๐Ÿ˜… ๐Ÿ˜…
 
Wacha wee๐Ÿค—๐Ÿค—๐Ÿ’ƒ,, umepata asilimia40 lakini ๐Ÿ˜ƒ
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ