ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 16,787
- 61,261
Mtu akijitolea kukupa mchumba na kazi yaani 2 in 1 utakubali?WAKUU samahanini kwa kudanganya umri niko serious kwa kutafuta kazi kuliko mchumba na ndio maana kwa mchumba nimejiongezea umri wa miaka miwili na nimesahau jamiiforums ni wana iQ kubw mno