Natafuta mchumba au rafiki

aisee!!!, kwa umri wako kama hata girl friend hujawahi kuwa naye, basi nikushauri usubiri, utaoa mbinguni si lazima uoe duniani, may be mkeo ashatangulia mbele za haki fanya hima kumfata, vinginevyo utavamia wake za watu, mfano Pretty na Firstlady1 UISHIE KUFUNGWA, UARABUNI UTANYONGWA, TAKE CARE

Hahahaaa! siyo kweli. Siaoni kama nimechelewa kuoa ila ndio nipo kwenye muda muafaka.
 
fuata mrindimo wa hoja za wanaojitambulisha kama
akina dada humu jf kisha wadondoshee pm wale ambao
unadhani mridimo wao ndio unaokuvutia. naamini utajibiwa
tu kama utaonyesha upo siriasi (si lazima ukubaliwe) ila
naamini watakujibu kistaarabu kama utawa-pm kistaarabu.

angalizo: chunga kunauwezekano wapo jamaa wana-avatar za kibinti lakini
ni madume lol
 
Nashukuru nimempata rafiki ambaye Mungu akijaalia anaweza kuwa mchumba na baadaye mke. Asanteni wana JF, pia asante kwa walioni-PM, kupiga simu au text msg, walioniandikia e-mail na kutuma post zao. Samahani kwa wale ambao nimeona hatuna chemistry. God bless you all.
 
waooo,hongera...
usisite kututambulisha wifi yetu,wakati ukifika...lol
...goodluck,both of you...
 
waooo,hongera...
usisite kututambulisha wifi yetu,wakati ukifika...lol
...goodluck,both of you...

Asante roselyne1, I hope Mungu akijaalia utapata hata kadi ya mchango na ya mwaliko.
good day.
 
jamani am so sooo happy for you kaka yangu.mungu awe pamoja nawe maombi iwe nguzo yenu.
umeonesha mfano kuwa hata jf kunapatikana wachumba,utawatia moyo na wengine waweze kujitokeza.
 
The Boss mbona thread za mapenzi unazipenda sana si wewe umeanzisha kule tena au,ile ya faida za kufanya mapenzi au??

wewe shogeri nini.....nawas was

Mh. ndugu mbona unamshtumu mwenzio bila hata sababu, alie-post hii thread ni Meale
 
Nashukuru nimempata rafiki ambaye Mungu akijaalia anaweza kuwa mchumba na baadaye mke. Asanteni wana JF, pia asante kwa walioni-PM, kupiga simu au text msg, walioniandikia e-mail na kutuma post zao. Samahani kwa wale ambao nimeona hatuna chemistry. God bless you all.
hongera kamanda.....!nasubiri kadi.....!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom