Natafuta mchumba au rafiki

Jamani wana JF kijana mwenzenu nimechoka kuwepo kuwepo sana kwa hiyo nataka kuoa hivyo nipo kwenye mchakato wa kumpata.

Wasifu wangu

  • Umri, miaka 28
  • Urefu, futi 6.0
  • Dini, mkristu
  • Kazi, nimejiajiri
  • Kipato, cha wastani
  • Napendelea kuchat, kubadilishana mawazo, michezo, muziki na kusikiliza vyombo vya habari na kuangalia filamu za kuchekesha..

Ningependa kupata rafiki/mchumba mwenye sifa hizi japo sio lazima awe nazo zote.

  • Umri usiozidi miaka 30
  • Asiwe mfupi sana
  • Elimu isiyopungua ya sekondari
  • Awe anafanya kazi
  • Umbo la wastani
  • Sibagui rangi (race)

Mwenye sifa hizi au baadhi asisite kutuma PM au aniandikie email kwa
email address meale2005@gmail.com au tuwasiliane kwa simu no. +255 772 884226

Nenda posta jioni, kama saa kumi na moja hivi ukiwa umevaa vizuri... usipopata mchumba basi mistari huna
 
Vp mwana umeshapata mke au rafiki? Manake nataka kutafuta mchumba hapa JF ila ningependa kupata feedback kutoka kwako kama kuna mafanikio au just boring.
 
mbona atuambii kama amepata au bado kwann unaanzisha unaingia mitini au ushapata ndo unatest
 
Hujabainisha awe DINI gani Kaka! Ili mradi umelileta JF, UTAFANIKIWA.. ALL DA BEST.
 
nikutahadharishe kuwa, kwenye mitandao watu wanazingua sana. kuna watu nachati nao wengine nawaambia niko marekani, canada, uk, india, china, australia, italy, tz, kenya nk.

uzoefu unaonyesha, ukisema uko tz tena nje ya dar, ujue itakula kwako, ukisema marekani, uk, na nchi kama hizo, wanachati ile mbaya na picha utatumiwa hadi uchoke, response za china india na uarabuni nazo si za kuridhisha.

kinachofurahisha ni kuwa hata wale ambao unaweza kuhisi ni waelewa wazuri wa mambo nao wanshabikia watu wa majuu. hii ni kansa mkuu, inatafuna, be careful, usiposema uko majuu, hupati, na tena majuu iwe usa au europe. hata humu jf mambo iko hivohivo!

all da best!
 
lakini huyu jamaa kweli mchumba atampatia hapa JF ..ina maana hana confidence za kuwaface hapo mtaani kwao,kazini,kijijini ,manesi kibao ,maticha ndo usiseme,,maafande wa UWTZ wamejaa tele ..

dada, hii picha ni yako? Isije ikawa haya matatizo ya kutafuta wachumba humu JF umesababisha wewe!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom