junior91
New Member
- Sep 21, 2015
- 4
- 0
Hi mimi ni kijana wa miaka 24 natafuta msichana (mchumba) ambaye nitaweza kudate nae na pia awe serious sitaki pasua vichwa kbsa maana nishaumizwa vya kutosha. Napendelea msichana mwembamba sio mrefu sana, pia awe tu mstaarabu. Awe na miaka kati ya 18-23. Ukiwa unajua unavigezo hivyo then check with me on Direct Message.