molely molly
JF-Expert Member
- Nov 28, 2011
- 317
- 30
huyo mr uliezaa nae mlishindwana coz hajiwezi?????????? nina genge la nyanya najiweza unasemaje :rockon:
Nata am sory kama lugha yangu imekuwa kali, ye alipo ana matatizo pale na usikute kashusha nae kibao, sasa hiyo ya mwisho alikosa mapene coz huyo si mtu wa K-pea? possibly mijanja ya mjini ikamrob sikuhiz mademu mnapewa sana feki na hata kurushiwa m-pesa hewa zen inacchomolewa, ye atafute penzi la kweli na sio pesa za ukweli, au umesahau pesa ni kisu zinakata kila sehemu, juzkat mi niliupata mpunga wa Bwn Kenyatta nikaja nao hapo dar pale ustawi nimekula sana bata na wale watoto wa ustawi, unamwita anakuja na mwenzake kwaiyo leo yeye kesho mwenzake, hela na economy pawa we ziache bwana, hadi uku kwa waluo na masai wasafi wa kenya zinapendwa sana, sa ye used analeta mashart?
HII INAITWA MAKAVU LIVE!! Ukimeza au ukitema ni juu yako!!Ndio maana midume kote huko ulikopita haikupendi mpaka unakuja huku kututafuta, na kuzaa neno zuri au jina lako zuri ni used, na inaonesha dhahiri we ni mwanamke pesa, nani awe ana pesa atake used? wakat street kuna vichipukiz kibao hivi vilivyopata mazero vya kumwaga, mtu anaejiweza kiuchumi aanze kuhangaika na mzazi kama wewe tena una mashart kibao,aache hata mafest yia kibao wa vyuo, we subiri watu wangu waku-PM waje kukukwarua ili wakuachie mawazo au kitoto kingine, ama sivyo change au edit ombi lako.pole kwa yatakayokusibu muda si mrefu.
mm ni mwanamke nasoma chuo
flan hivii hapa tz natafuta mwanaume wakunioa awe ameenda age,awe na
kazi yaan kiufup awe anajiweza,mm nina mtoto mmoja wa kiume if u are
serious karibu kama sio usijisumbue.
kila la kheri tho kubali matusi maana utaonekana wa ajabu mdada kuandika uzi huu wakati menyewe yakiweka yanaona poa