Natafuta Mchoraji wa Sura Yangu

Natafuta Mchoraji wa Sura Yangu

Kiresua

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2009
Posts
1,183
Reaction score
261
Nd wanaJF

natafuta m2 (artist) wa kuscetch image au sura yangu

Kuna wakati alikuwa pale Karume siju amehamia wapi!

Natamani kama nikimpata the best artist wa kuchora sura ya mtu na ikatokea kama ilivyo!

asanteni
 
Ni pm namba yako yuko jamaa anakutoa kama ulivo ... yuko dsm kigamboni ..
 
Nd wanaJF

natafuta m2 (artist) wa kuscetch image au sura yangu

Kuna wakati alikuwa pale Karume siju amehamia wapi!

Natamani kama nikimpata the best artist wa kuchora sura ya mtu na ikatokea kama ilivyo!

asanteni

si uingie kwenye smartphone download any photo scotch app, jipige picha nenda ka print ,FINITO
 
Kuna mzee Mmoja huwa anakuwa pale Jackies pub masaki au coco beach naona huwa anachora.
 
Back
Top Bottom