Natafuta mchongo wa Medical Doctor (MD)

Vijana wenzio wanasoma vitu ambavyo unaweza kujiajiri. Wewe ukachagua usaa na damu. Sasa mpo wengi kama sisimizi. Kazi ya kudharauliwa kama ualimu. Pole. Ila pambana.
Sasa ote wakisoma hivyo vitu vya kujiajiri nani atatutibu huko hospital? nani atafundisha watoto wetu? Nani atatupa ushauri kitaalamu kuhusu kilimo na ufugaji? Tunaishi kwa kutegemeana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, nilikupa kazi unayoomba huku, kabla hata ya kuanza kazi yenyewe ukaingia mitini. Sasa umerudi kuomba kazi tena?

Ujue utaratibu wa hivi husababisha watu wenye shida serious wasisaidiwe kwa hofu kuwa hakuna userious. Usiombe kitu kama hauko serious na unachoomba maana unawaharibia na wenzako wenye uhitaji serious waonekane ndio wale wale tu na wapuuzwe.
 
sorry sana, tuliongea vizuri ilishindikana kutokana nilikuwa na Kazi ya mtu Mkononi . So I couldn’t just leave . Also masilai ya kazi yalichangia kwa Kiasi kikubwa sana . I had to stay put but I am now available.
 
Ni wastage acha kujipa moyo, nitajie md yoyote tajiri Tanzania, nje yenyewe watu wanaikimbia skuizi. Nguvu nyingi, muda mwingi kazini ata ela ukipata haina maana. Kozi la hovyo. Wenzio wapo TRA, TIRA, Hazina etc, hawatoi jasho wala hawaamki usiku na hawalaumiwi kwa kuua na wana maisha kukuzidi unataka kusemaje yani? 🤣 Umechagua kazi ya malofa dogo usijidanganye. Nerds and low people ndio wanajichanganya huko. Unatumia nguvu nyingi kuwa mtu wa kawaida. Kwanza ebola ikija unasepa chap kama upepo🤣🤣
MD kozi ya heshima sana Duniani kote, MD ni cheo
 
MD kozi ya heshima sana Duniani kote, MD ni cheo
Ndio kinachowacost , kutafuta heshima. MD wa Tanzania haheshimiki, labda uwe very exceptional Sana. Na wengine ni average Joes kama wewe ila wanaipenda sana hiyo course. Utateseka sana. Ela ipo kwenye tech. Heshima uwe na ela bana. Eti MD alafu unazidiwa pesa na auditor au financial manager we unakuwa nani?
 
Pesaa haipo popote kwa njia ya kuajiriwa ukitaka mapesa jiajir, Mimi sio MD
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom