Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,446
- 32,858
all the best kaka...uvumilivu muhimu sana..usi force sana kwa shemeji ongea afahamu kujaribu hakuna madhara, mbali na kunogesha penzi lenu na kuliimarisha kwa faida ya wote..Nimekusomaaaaa!