KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
Wakuu habari zenu
Natafta mbwa either mdogo
Awe either
German Shepherd
Au Rottweiler
Natafta mbwa either mdogo
Awe either
German Shepherd
Au Rottweiler
Mkoani wapo mbnaGerman shepherd bongo watakudanganya tu. lkn pia mbwa hawa pamoja na sifa ya kuwa na akili nyingi kushindwa majibwa yenzie, Huwa na matatizo ya kiuno Mara kwa mara... sijui kama tuna madaktari wa mifugo sisi.
Napenda sana hii mijibwa.
ndo anaonesha yupo makini na lindo![]()
![]()
jamani hilo jicho
Sio kwa umakini huo aiseendo anaonesha yupo makini na lindo
Basi2 kuwa na usalama mkuuKwani shemeji yetu kajifungua baby girl?
Ivi vimbwa navifaham, vioga kichizvp huyu ankufaaa![]()
Ni risky ambayo am willing to takeKumpata Huyo G.S pure ni Gharama sana halafu na wewe uwe unawajua vizuri
Yuko poaVp huyu atakufaa?
American EskimoYuko poa
Aina gan huyu mkuu