Teja Junior JF-Expert Member Joined Apr 1, 2013 Posts 1,740 Reaction score 1,597 Jan 1, 2015 #1 Mambo zenu wakubwa nilikua naomba wakujulishwa sehemu inayo uzwa mbwa au kama kuna raia humu anafanya biashara hii naomba msaada au nitajiwe sehemu wanauzwa
Mambo zenu wakubwa nilikua naomba wakujulishwa sehemu inayo uzwa mbwa au kama kuna raia humu anafanya biashara hii naomba msaada au nitajiwe sehemu wanauzwa
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,794 Reaction score 12,623 Jan 2, 2015 #2 nenda pale victoria mida ya jion ujichagulie...!