aminiusiamini
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 3,577
- 2,226
Kama kichwa cha habari hapo juu. Ninatafuta mbwa wa kufuga ndani.
German shepherd original wawe wadogo kama wanne.
Pia kama kuna Siberian husky or golden retriever.
Naomba uweke picha hapa na contacts zako.
Ahsante