oldbull
JF-Expert Member
- Jun 6, 2015
- 380
- 670
Samahani ndugu zangu ila naomba nikushauri kitu. Naamini nyie wote ni wataalamu wa Tehama. Tafuta mtu mwenye experience kwenye highl level Business management pamoja na mtu aliyestaafu kwenye marketing.
Kujua kudevelop na kurun biashara pamoja enter personal marketing ni vitu tofauti kabisa, usijidanganye digital marketing itakupa high level clients. Kama mtaji huna wa kuwalipa hao watu wape sehem ya kampuni, tena sehem kubwa tu maana bila hao utazeeka na software zako.
Alafu kuwa realistic na maisha ya sasa hivi, maana mimi nilifanya makosa mwanzoni yaliyonigharimu sana...bei unayompa mteja ni ndogo sana ndio maana hujapata mtaji hadi sasa, na unaogopa bei ikiwa kubwa hutapata mteja ila usideal na kampuni za watu wasio na pesa watakuumiza kichwa tu...the rest ukiona naweza kukushauri njoo inbox