Ndugu wana jamii natafuta mbegu za chia ntazipata wapi kwa kanda hii ya ziwa nipo shinyanga kwa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo dar ninazoNdugu wana jamii natafuta mbegu za chia ntazipata wapi kwa kanda hii ya ziwa nipo shinyanga kwa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hvyo vimbegu apoChia ndio nini wakuu?
Tupe shule zinakuajeHizo mbegu wengi wamezikurupukia bila kujua madhara yake. Hakika zikiganda kwenye utumbo ndo kwisha yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa zina tabia ya kuganda kwenye utumbo na kupelekea ile sehemu kuoza kabsa. Uhakika zaidi nenda kamuulize daktari haswa wale waliosoma au kupata kozi ya mafunzo nje ya nchi.

NOTE: Huwa zinatoa kitu kama inta ( gundi) pale zinapokutana na rojo lisilokuwa na maji maji ya kutosha hivyo huwa zina tabia ya kijikusanya pamoja na kutengeneza kitu kigumu kilichojishikisha kwenye utumbo na badae kuifanya ile sehemu kuoza bila ww kujijua hadi mauti.
NB: Hili ni angalizo na si kwamba kila mtu akitumia atakuwa ivyo ila bora ukajiepusha kutumia kuliko wewe kuwa mfano.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unahitaji kiasi gani?Ndugu wana jamii natafuta mbegu za chia ntazipata wapi kwa kanda hii ya ziwa nipo shinyanga kwa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
MmmhHuwa zina tabia ya kuganda kwenye utumbo na kupelekea ile sehemu kuoza kabsa. Uhakika zaidi nenda kamuulize daktari haswa wale waliosoma au kupata kozi ya mafunzo nje ya nchi.
NOTE: Huwa zinatoa kitu kama inta ( gundi) pale zinapokutana na rojo lisilokuwa na maji maji ya kutosha hivyo huwa zina tabia ya kijikusanya pamoja na kutengeneza kitu kigumu kilichojishikisha kwenye utumbo na badae kuifanya ile sehemu kuoza bila ww kujijua hadi mauti.
NB: Hili ni angalizo na si kwamba kila mtu akitumia atakuwa ivyo ila bora ukajiepusha kutumia kuliko wewe kuwa mfano.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa zina tabia ya kuganda kwenye utumbo na kupelekea ile sehemu kuoza kabsa. Uhakika zaidi nenda kamuulize daktari haswa wale waliosoma au kupata kozi ya mafunzo nje ya nchi.
NOTE: Huwa zinatoa kitu kama inta ( gundi) pale zinapokutana na rojo lisilokuwa na maji maji ya kutosha hivyo huwa zina tabia ya kijikusanya pamoja na kutengeneza kitu kigumu kilichojishikisha kwenye utumbo na badae kuifanya ile sehemu kuoza bila ww kujijua hadi mauti.
NB: Hili ni angalizo na si kwamba kila mtu akitumia atakuwa ivyo ila bora ukajiepusha kutumia kuliko wewe kuwa mfano.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hvyo vimbegu apoView attachment 1067806
Mpigie mwenye namba 0783702570 na 0752301758, yupo Kahama utapata kiasi chochote unachotaka hii ni dawa nzuri sana ya magonjwa kadhaa, usidanganywe na watu wadiozifahamu vzr mbegu hizi, hebu ingia google andika chia seeds au mbegu za chia uone faida zake, ziko nyingiNdugu wana jamii natafuta mbegu za chia ntazipata wapi kwa kanda hii ya ziwa nipo shinyanga kwa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app