Kwanza tafuta kitabu kinachoitwa Growing apple in Tropics : The Complete Guide to Growing Apples Where They’re Not Supposed To ,By Kevin Hauser, Kuffel Creek Apple Nursery,,,,nadhani kinauzwa kama dola 35 ni E-book..then mtafute huyu bwana kwa number hii... +256752651834 ni msimamizi wa bustani ya Kuffe Creek Apple Nursery ambayo ipo Nakifuma Kampala, utapata micha bora kanisa, kwa kuwa huyu bwana mara nyingi hapatikani unaweza anza kwa kumwandikia .....
kevin@kuffelcreek.com........kwenye facebook tafuta jina kuffel creek nursery - kampala uanze kujifunza...mche moja unauzwa kuanzia dola 8$...na hii miche unaweza otesha hata kalahari desert na ikakubali...ukiona ni gali unagneni watu wawili watatu muagize kwa pamoja....inayopatakana Tanzania, haitaweza kukupa matokeo mazuri hata kaidogo....naongea kwa uzoefu ninayo miche niipanda Msata...mkuranga....Moshi na dsm na nilitaarifiwa ya mkuranga inamatunda msata walishakula....kila la kheri kama unallote unaweza uliza