Natafuta mbegu za ma-apple ya kisasa

Natafuta mbegu za ma-apple ya kisasa

Infopaedia

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
1,231
Reaction score
1,496
Salamu wandugu. Hivi hizi mbegu za ma-apple ya kisasa nitapata wapi?. Nina mpango wa kupanda kwa majaribio maeneo ya Kilimanjaro. Asanteni.
 
Jaribu kucheki viwanja vya nane nane Arusha kuna kampuni ya kuzalisha miche iko ndani mule karibu na eneo la jeshi la magereza, pia cheki na Mitimingi wako Moshi
 
Kwanza tafuta kitabu kinachoitwa Growing apple in Tropics : The Complete Guide to Growing Apples Where They’re Not Supposed To ,By Kevin Hauser, Kuffel Creek Apple Nursery,,,,nadhani kinauzwa kama dola 35 ni E-book..then mtafute huyu bwana kwa number hii... +256752651834 ni msimamizi wa bustani ya Kuffe Creek Apple Nursery ambayo ipo Nakifuma Kampala, utapata micha bora kanisa, kwa kuwa huyu bwana mara nyingi hapatikani unaweza anza kwa kumwandikia .....kevin@kuffelcreek.com........kwenye facebook tafuta jina kuffel creek nursery - kampala uanze kujifunza...mche moja unauzwa kuanzia dola 8$...na hii miche unaweza otesha hata kalahari desert na ikakubali...ukiona ni gali unagneni watu wawili watatu muagize kwa pamoja....inayopatakana Tanzania, haitaweza kukupa matokeo mazuri hata kaidogo....naongea kwa uzoefu ninayo miche niipanda Msata...mkuranga....Moshi na dsm na nilitaarifiwa ya mkuranga inamatunda msata walishakula....kila la kheri kama unallote unaweza uliza
 
HABARI,
"Prodigal Son,
Tunashukuru sana kwa jibu lako lenye msaada mkubwa kwa muuliza swali na wote.Ubarikiwe.

LUMUMBA
 
Kwanza tafuta kitabu kinachoitwa Growing apple in Tropics : The Complete Guide to Growing Apples Where They’re Not Supposed To ,By Kevin Hauser, Kuffel Creek Apple Nursery,,,,nadhani kinauzwa kama dola 35 ni E-book..then mtafute huyu bwana kwa number hii... +256752651834 ni msimamizi wa bustani ya Kuffe Creek Apple Nursery ambayo ipo Nakifuma Kampala, utapata micha bora kanisa, kwa kuwa huyu bwana mara nyingi hapatikani unaweza anza kwa kumwandikia .....kevin@kuffelcreek.com........kwenye facebook tafuta jina kuffel creek nursery - kampala uanze kujifunza...mche moja unauzwa kuanzia dola 8$...na hii miche unaweza otesha hata kalahari desert na ikakubali...ukiona ni gali unagneni watu wawili watatu muagize kwa pamoja....inayopatakana Tanzania, haitaweza kukupa matokeo mazuri hata kaidogo....naongea kwa uzoefu ninayo miche niipanda Msata...mkuranga....Moshi na dsm na nilitaarifiwa ya mkuranga inamatunda msata walishakula....kila la kheri kama unallote unaweza uliza
Asante kwa kutoa muda wako na majibu mazuri. Nitajaribu kufuatilia yote uliyonielekeza. Nikikwama pahali nitakutafuta.
 
Unakaribishwa....hata hicho kitabu ninacho ila siwezi kukishare hapa...kwani kinauzwa na nikifanya hivyo naweza pelekwa kwa pilato...ukikihitaji tafuta namna tuwasiliane
 
Cheki na hawa wako nane nane Arusha(Njiro) naona wanafanya na utafiti na wanauza miche
IMG20180605151826.jpg
 
Back
Top Bottom